ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Tuesday, September 25, 2012

MAADHIMISHO YA SIKU YA UTALII DUNIANI KITAIFA VIWANJA VYA NYAMAGANA MWANZA YAZIDI KUNOGA

Mkuu wa mkoa wa Mwanza Evarist Ndikilo akiidadisi bidhaa inayotokana na nyuki (asali) iliyotengenezwa kwenye banda la utalii la Tanapa huku akishuhudiwa na moja ya wadau wa banda hilo pindi alipodhuru viwanja vya Nyamagana kujionea shughuli mbalimbali.


Remmy Pascal mwanafunzi mwaka wa tatu anayechukuwa mafunzo ya utalii katika chuo cha SAUT jijini Mwanza akitoa maelezo kwa  Mkuu wa mkoa wa Mwanza Evarist Ndikilo, wakati alipo dhuru banda hilo jana kufanya uzinduzi wa Maadhimisho ya Utalii kitaifa yanayoendelea uwanja wa Nyamagana mkoani Mwanza.


Hili ni banda la Kasuku (Africn Grey Parrot) mwenye jina la kisayansi Psittacus Erithacus mwenye uwezo wa kuishi miaka   50 hadi 70.


Mtaalamu wa banda la wanyama pori akicheza na chui.


Hili ni banda la simba.


Mkuu wa mkoa wa Mwanza Evarist Ndikilo akishuhudia simba anavyopata chakula yake ndani ya moja ya mabanda ya maonyesho viwanja vya nyamagana katikati ya jijini la Mwanza.


Mnyama simba akipata msosi wake...


Mtaalamu wa malisho kwa wanyama akimsihi simba huyo kutii amri zake na maelekezo...


Mkuu wa mkoa wa Mwanza Evarist Ndikilo akivinjari...


CEO wa blogu hii na banda la chui.


Manunuzi yakifanyika....Nipe jiko lileeee....


Wadau kutoka nchini Uganda nao wako ndani ya Maonyesho haya.


Wawekezaji nao wamo....

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.