Pambano la ligi kuu ya
Grand Malt ya Zanzibar kati ya Mtende na Mundu kwenye uwanja wa Amaan zanzibar
jana. Mtende iliinyuka Mundu
mabao 2 - 0.
Mshambuliaji wa mundu, Mfanyeje Ndalo akimiliki mpira mbele ya walinzi wa Mtende, Mussa Juma (kushoto) na Jumanne Chikunde. |
Walinzi wa timu ya mtende Mussa Juma (kushoto) na Jumanne Chikunde wakimzuia mshambuliaji wa Mundu, Mfanyeje Ndalo jana kwenye uwanja wa Amaan zanzibar. Mtende 2 Mundu 0. |
Mshambuliaji wa Mundu, Ibrahim Rajab (mbele) akipambana na Ali Salum wa Mtende, ligi kuu ya Grand malt ya zanzibar jana Mtende ilipata ushindi wa mabao 2-0. Picha na Martin Kabemba
|
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.