ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Monday, September 10, 2012

KAMATI KUU CHADEMA YAWAVUA UANACHAMA MADIWANI 2 JIJI LA MWANZA

Ni ADAMU CHAGULANI IGOMA NA HENRY MATATA KITANGIRI Pia Imevunja uongozi wote wa CHADEMA mkoa wa Mwanza. Sababu zikitajwa kuwa ni kukihujumu chama pamoja ma tukio la hivi karibuni kushiriki kumvua umeya aliyekuwa meya wa wa jiji la Mwanza kupitia CHADEMA Charles Manyerere kwa kumpa kura ya kutokuwa na imani naye wakishirikiana na madiwani wa ccm.

Sambamba na hilo inasemekana kuwa CHADEMA imeuvunja Uongozi wa Chama Mkoa huku madawani wote wakipewa onyo kali. ...... ITAENDELEA....

 TAARIFA HIZI BADO HAZIJATHIBITISHWA, LAKINI PINDI TU ZITAKAPO THIBITISHWA KILA KITU KUWEKWA HADHARANI NA G SENGO BLOG.

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.