Gumzo la Jiji; Vijana wa Skylight bendi wakirudisha katika kiota chao cha Thai Village mwishoni wikendi iliyopita. Bendi hiyo kwa sasa inatoa burudani kila Ijumaa Thai Village jijini Dar. |
Vijana wa kazi wakitoa burudani ya kufa mtu... |
Sebene likiwa limenoga. |
Ile inayounguruma...'nyama ya Lofombo' |
Wanadada wa Skylight bendi Mary na Anneth. |
We'''''Wa!!!! |
Wadau wakishow love... wapi EduzZZ!!! |
Kila mmoja alikuwa na furaha. |
Haki Ngowi akiwa na rafiki yake nao waliwakilisha. |
Mkurugenzi wa Ndege Insurance na Skylight Entertainment Bw. Sebastian Ndege (kulia) akiwa pamoja na marafiki zake. |
Marafiki wakiwa katika picha ya pamoja. |
Marafiki wakiselebuka... |
Moja ... Moja.. |
Naanguka mieeeee!!!aaaah Kumbe utani.... |
Wadau kutoka Clouds Fm nao waliweza kuja kuiunga mkono. |
Warembo wakiweka kumbu kumbu. |
Aha! wadau wote. |
Mwimbaji wa bendi ya Skylidht Sam Machozi akijiachia na mrembo. |
Ingizo jipya ndani ya Skylight bendi akitoa burudani. |
Yeeeeeh!!!! |
Marafiki wakiwa katika nyuso za furaha. |
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.