|
Mkongwe wa muziki wa kizazi kipya aka Bongofleva,Prof Jay akishusha mistari yake kama kawa mbele ya umati wa watu (hawapo pichani),usiku wa jana ndani ya uwanja wa CCM Kirumba.
|
|
THT on the stage.... |
|
Afisa Uhusiano Clouds Media Simon Simalenga kushoto, Henry Mdimu, Super Man na Bonge wa PB wakipata Flash for we... |
|
Yep...Hapo vipi? |
|
Dj Zero... |
|
Dj PQ... |
|
Kitu cha live. |
|
Mkurugenzi wa Vipindi na Utafiti kutoka Clouds Media Group Bwa. Ruge Mutahaba akisoma namba ya mshindi aliyejishindia gari aina ya Vits ambazo zimekuwa zikitolewa na kampuni ya Push Mobile katika mchakato mzima wa Tamasha la Serengeti Fiesta 2012,Kati ni Meneja Masoko wa kampuni ya Push Mobile Bwa,Rugambo Rodney na kushoto ni mmoja wa wakilishi wa bodi ya Taifa ya michezo ya kubahatisha Bwa.Abubakari Maggid wakishuhutia tukio hilo usiku huu ndani ya uwanja wa CCM Kirumba.Mshindi wa gari hiyo aina ya Vitz alitajwa kuwa ni Bahati Joseph,mkazi wa jiji la Mwanza,mjasilia mali.
|
|
Dj fety na marafiki wakishow love kwa blogi.. |
|
Supa Star Wema Sepetu na mafans wake wa Rock city. |
|
Sehemu ya umati wa watu ukishangweka vilivyo usiku wa jana ndani ya uwanja wa ccm kirumba.
|
Pichani kulia ni msanii Recho kutoka THT akiwa sambamba na densa wake wakionesha umahiri wa kuimba jukwaani mauno kwa mbalii hivi.
|
Time 4 the flash... |
|
Msanii Ney wa Mitego kama kawa akikamua kwa hisia mbele ya wakazi wa jiji la Mwanza (hawapo pichani) waliojitokeza kwa wingi ndani ya uwanja wa CCM kirumba.
|
|
Ommy Dimpoz akikisanukisha uwanja wa ccm kirumba.
|
|
Muigizaji Wema Sepetu akiimba huku wenzake wakifurahia jukwaani kushoto ni Raymond Kigosi na kutoka kulia ni Aunt Ezekiel, Steve Nyerere na Steven Jacob JB.
|
Kutoka kulia ni Seve Nyerere, Dj Fetty wa Clouds, Raymond Kigosi,Wema Sepetu na Aunt Ezekiel wakichuana kusakata Sebene.
|
Mwanadada machachari kabisa awapo jukwaani,Mwasiti akiimba jukwaani usiku huu.
|
|
Masharobaro ndio habari ya mujiniiiii….! Bob Junior na kundi lake wakitumbuiza kwenye jukwaa la Serengeti fiesta 2012 usiku wa jana kwenye uwanja wa CCM Kirumba,jijini Mwanza. |
Tupe maoni yako
Show ilikua babu kubwa kama kawaida ya fiesta lakin shoo ilichelewa kuisha coz walichelewa kuanza,kwa sis watu wa igoma ilikua shida kurud usafir mwanza wa daladala mwisho ni sa 4,wakat walisema mwisho wa shoo ni sa 3 uck na ndivyo 2mezoea fiesta zote,so next time mjal mda au pengine waseme ukwel shoo inaisha mda gan il 2jipange kwa sis 2lio mbal
ReplyDelete