| Vijana wa vyombo kutoka Skylight bendi hawa ndiyo huwa wananogesha mambo yote. |
| Watu walijitokeza kwa wingi kuiunga mkono bendi yao. |
| Justine Ndege akiwa katika uso wa furaha. |
| Show Love nayo ilikuwepo. |
| Mchekeshaji Steve Nyerere akiwa na wanamuziki wa Skylight bendi wakiwasha moto. |
| Mwanamuziki Joniko Flawa akiwa na Mchekeshaji Steve Nyerere. |
...haya twendeeeee
... jiachieeee kwa raha zako
|
| Kulia... kushoto |
| Vimwana wa Skylight bendi wakionyesha umahili wao. |
| ... Bwana Goodluck na mkewe wakishow love |
| Sam Machozi akimwaga burudani |
| .. ahaaaaaaaaaaaaaaaaaa |
| . eeeeeeeeeh.. |
Jonoko Fla
wa akimwaga mauno mbele ya wadau.
|
| Uongozi mzima wa Skylight bendi ukifuatilia. |
| u-Eeeeeeeeh..... |
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment