ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Thursday, August 23, 2012

BARAZA LA WATOTO TANZANIA LAMTEMBELEA OFISI ZA DIWANI KATA YA MKOLANI

Braza la Watoto Tanzania jana lilimtembelea diwani wa kata ya mkolani Mh. Stanslaus Mabula nia ikiwa ni kujua/kupata taarifa za utekelezaji ajenda ya mtoto ikiwa ni pamoja na kubadilishana ujuzi wasikilize kupitia mahojiano niliyofanya nao kuhusu masuala mbalimbali.....
SWALI:- Lengo la Ziara yenu kwa Mh. Diwani ni nini hasa?

SWALI:-Changamoto gani mnazokutana nazo kama watoto kuhusu suala la mimba mashuleni?
SWALI:- Watoto mnanguvu gani katika uletaji mabadiliko kwa maendeleo ya Taifa hili?


Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.