ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Tuesday, August 21, 2012

MAHAKAMA YAMVUA UBUNGE KAFUMU IGUNGA


Habari za hivi punde ni kuwa Mahakama kuu Kanda ya Tabora iliyokuwa ikisikiliza kesi ya Uchaguzi jimbo la Igunga ya mwaka 2011, imetoa Hukumu ya Kesi ya Mbunge wa Nzega Dalali Peter Kafumu aliyekuwa akilalamikiwa na Kashinde wa Chadema, kesi imemalizika na mahakama imemvua ubunge Mbunge huyo wa CCM (Kafumu pichani aliyeshikwa bega).
Habari zaidi zaja...


Tupe maoni yako

1 comments:

  1. Sasa mshahara na posho anarudisha au? na hao CRDB wanaokopesha wabunge kwa dhamana ya ubunge, hela yao vipi tena?

    ReplyDelete

Note: Only a member of this blog may post a comment.