ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Monday, August 20, 2012

HAPPY BIRTHDAY DOREEN, JOLLYN NA JOSSLYN

Leo ni siku ya shangwe la kuzaliwa Josslyn Joram (J&J), Jollyn Joram na Shangazi yao Doreen.

Josslyne akikata keki huku akipewa sapoti na Doreen.

Jollyn ambaye ametimiza mwaka mmoja akikata keki kwa kampani ya mama yake.

Doreen akikata keki kwa sikukuu yake ya kuzaliwa iliyofanyika home kwa brother yake na watoto wakiimba na kupuliza maputo.

Josslyne akimlisha keki mama yake mzazi Bi. Grace Mtongole na kwa chati Jollyn akichekelea katika sherehe iliyofanyika nyumbani kwao Iloganzala Pasiansi wilayani Ilemela jijini Mwanza..

Josslyne akimlisha keki mdogo wake Jollyn.

Naye Doreen to Josslyne.

Doreen akimlisha sister wake Neema.

Add captionJosslyne akimlisha Zera.

Kona ya akina baba nje ya house.

Nyama choma zilichomeka kwa area kwa saaaaana.

Oyaaaaaa fasta mangi!!!

Kabupilipili kakali.

Tupe maoni yako

3 comments:

  1. Hakika ilikuwa siku ya Furaha kwa Familia ya Mr&Mrs Joram Ngaiza.Watoto walipendeza sana Mwenyezi Mungu hawape maisha marefu yenye fanaka tele.

    ReplyDelete
  2. Hongereni sana ndugu, naona kulikuwa kumekamilika kuanzia watu, keki na zakuchoma.

    ReplyDelete
  3. hongera sana doreen,J and J

    ReplyDelete

Note: Only a member of this blog may post a comment.