Mh. Christopher Gachuma (Kushoto) akikabidhi fomu kugombea ujumbe NEC kupitia CCM Wilaya ya Tarime kwa Katibu wa CCM Wilaya hiyo Adriano Moris Rhutana (Kulia). |
Mh. Christopher Gachuma (Kushoto) akisaini kwenye daftari la waliorudisha fomu kugombea ujumbe NEC kupitia CCM Wilaya ya Tarime. |
Kimya kimya vijana hawa kutoka kusiko julikana walikuja na mabango yao nje ya ofisi za CCM wilaya ya Tarime, yalisomeka..... |
MJUMBE wa Halmashauri kuu ya Taifa (NEC) Bw. Christopher Mwita Gachuma amejitokeza kwa mara
nyingine kugombea nafasi ya NEC Taifa kupitia Wilaya ya Tarime na kuahidi
kukisaidia chama hicho wilayani humo kujiimalisha kiuchumi huku vijana
wakipatiwa fursa la kujimalisha kiuchumi,mitaji na biashara kupitia vikundi.
Bw.Gachuma ambaye ni mmoja wa
wanasiasa wakongwe nchini alitoa kauli hiyo mara wakati wa kuchukuwa na kurejesha
fomu ya kugombea nafasi hiyo leo hii Wilayani Tarime baada ya
kumkabidhi Katibu wa CCM wilaya ya Tarime Bw. Adriano Rhutana fumu za kugombea
huku baadhi ya vijana na wanachama waliofika katika ofissi hizo wakishuhudia tukio hilo.
Zaidi kwa alichokisema (Bofya kitufe cha play picha ya 4 tukea juu).
Tupe maoni yako
Hawa watu watastaafu lini?
ReplyDeletewakae pembeni
ReplyDeleteNEC ikijaa vijana pekee hakuna yatakuwa yale yale kama bungeni kila kitu mwongozo, na malumbano NEC yahitaji mchanyato wa vijana wakomavu wa busara na wakongwe kama hawa wenye uwezo.
ReplyDeleteHongera Gachuma kurudi Hom.