HEY bro....
Nikuhusu project yng
mpya nlofanya na Mr. Blue.... chini ya producer Lamar..sasa npo under lebel ya
Exclusive Music na kuna mipango mingi kama kuachia hii ngoma mpya na kufanya
video....ikiwa ni chini ya usmamiz wa Lamar mwenyewe.....
Inshot mpango kazi ambazo nsha wahi fanya ni kama km forgv
me, mrembo, mtima wange, na mama mwanye nyumba ambayo ndo project ya kwanza
kuifanya na Lamar na hii ikiwa ni projct ya pil..... pia c mbaya kwenye habar nikawakilisha names za maprod waliosimamia mzigo ambao ni tiddy.,, samtimba, kidbwai, q the
don..d clasic na j aden..
Thanx ni hayo tu...
Ntakua naku imfom kitacho
endelea kaka...........
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.