Msanii
wa Filamu Nchini Jaqlin Wolper akizungumza na waandishi wa habari Dar es salaam
leo kuhusu mpambano wake wa masumbwi na Wema Sepetu utakaofanyika Katika uwanja
wa Taifa siku ya sabasaba.
Kocha
wa bondia Wema Sepetu ambani Msanii Bondia Rashidi Matumla akiongea kwa niaba
wakati wa kutambulisha mpambano huo leo.
Moja ya mabango yanayonesha kuwepo na
mpambano wa Francis Cheka na Japhert Kaseba likiwa limewekwa makutano ya
Barabara ya Uhuru na Msimbazi kwa ajili ya kuamasisha Tamasha la matumaini
litakalofanyika Katika uwanja wa taifa Dar es salaam na burudani kibao kutoka
kwa wasanii mbalimbali nchini.
Picha zote na www.superdboxingcoach.blogspot.com
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.