Tarifa kutoka kwa mdau zinasema kuwa gari hilo lilikua likishuka mlima.
Na. Mdau wetu Eliakim William
Ajali imetokea katika mlima sekenke gari hiyo
aina ya fuso
Yaa mimi nilipita pale majeruhi walikua wa4 gari ilikuwa limebeba
mahindi na nilichoona inashuka kwa kasi sana. Na nikaona vijana wawili wakiruka
toka kwenye gari. Gari likazidi kuongeza mwendo nakuanguka mpakanaondoka hapo
hapakuwa na mtu aliyepoteza uhai. Na nilichokiona leo madreva tuweni makini sana tunapo tumia barabara , natufuate sheria za udreva, nimepishana namagari yanashuka kwa kasi sana mliman , nawanatumia brake sana kushukia mlima badara kuweka gia sahihi,
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.