Bondia Ramadhani Shauli akiwa ameushika Mkanda wa
I.B.F Africa wakati ulipokuwa ukioneshwa mbele ya waandishi wa habari baada ya
kuwasili Dar es salaam jana ukitokea USA mkanda huo utakaogombaniwa na Shauli na
bondia Sande Kizito kutoka Uganda utafanyika siku ya Iddi pili katika ukumbi wa
Diamond Jubilee kushoto ni Makamu wa
Rais wa Kamisheni ya Kamisheni ya Ngumi za Kulipwa Tanzania (TPBC) Madaraka
Nyerere na Promota wa mpambano huoMkurugenzi wa Kitwe General Traders, Lucas
Rutainirwa.
Bondia
Nassibu Ramadhani kushoto na Ramadhani Shauli wakifungu mkanda wa ubingwa wa IBF
Africa utakaogombaniwa na Ramadhani Shauli kushoto na bondia Sande Kizito kutoka
Uganda.
Ramadhani Shauli akiwa na mkanda wa ubingwa wa IBF
Africa.
Picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.