Nani atakayemrithi mrembo Nelly Kamwelu
katika fainali za Miss Universe 2012?
Mwaka 2007 alikuwa
Flaviana Matata,2008 alikuwa Amanda Ole Sululu,Mwaka 2009 alikuwa Illuminata
James,zamu ikawa kwa Hellen Dausen mwaka 2010.
Mwaka 2011 ilikuwa
bahati ya Nelly Kamwelu kutoka Dar es Salaam.
Nani kuvikwa taji la Miss Universe baada ya Nelly
Kamwelu?
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.