ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Friday, June 1, 2012

NANI KUVIKWA TAJI LA MISS NYAMAGANA LEO?

 Aisha

 Amina

 Brenda

 Cecy

 Happy Daniel

 Happy

 Lilove

 Maurine

 Mercy

 Pendo

 Roswita

Whitney

SURA HIZI ZINAPANDA JUKWAANI IJUMAA YAANI LEO USIKU, ILI KUMPATA MISS NYAMAGANA 2012.
 NI KATIKA UKUMBI WA GOLD CREST JIJINI MWANZA. 
WAANDAAJI NI STOPPERS ENTERTAINMENT.
BURUDANI ITATOLEWA NA LINAH, DITTO NA HAFSA KAZINJA.
MSHEHERESHAJI MKUU AU MC WA SHUGHULI NZIMA NI MASANJA MKANDAMIZAJI KUTOKA KUNDI LA ORIJINO KOMEDI.

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.