Wadau hii ni biashara kwaajili ya kunakshi bustani zetu iwe ni mahoteli au kwa wale walioporomosha mijengo mikubwa yenye bustani mpango mzima ni hapa Edo Plant.
Zana hizi zilizo tengenezwa kiasili na nakshi za style ya vyungu na miti ni kwaajili ya kupanda miti, maua, kutumbukiza taa na kadhalika kutokana na tamani ya mnunuzi kwenye matumizi.
Ze view kwa chini.
Vyovyote upendavyo kuinakshi bustani yako wataalamu hawa wanaopatikana Butimba kona barabara iendayo Shinyanga, watashiriki kikamilifu kufanikisha na kama utahitaji ushauri hilo pia halishindikani.
Jadi inaendelea.
Mabata kwaajili ya maua na mengineyo.
Kama mbuga zetu vile hawa ni baadhi sema mnyama umtakaye watafanya mambo.
Ze swala munyama'
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.