Baaada ya kazi ya kuzindua na kuimarisha tawi la CHADEMA Washington Dc Maryland na Virginia, Wabunge wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA)Mhe. Peter Msigwa na Mhe. Nassari Joshua, Al-Marufu 'Dogo janja', Usiku wa Jana Jumatano Mei 30,2011 waagwa rasmi kwa kuangalia mpambano wa kimataifa kati ya US na Brazil ndani ya uwanja wa Fedex, uliopo Landover Maryland Nchini marekani
Bao la kwanza lililofungwa kwa njia ya Penalti na Neymar May 30, 2012.
Idadi ya
wapenzi waliohudhuria katika mpambano huo ni 67,656 wakiwemo Mhe. Nassari Joshua pamoja na Mhe, Peter
Msigwa.
Wabunge wa chama cha Chadema wakipata flash ya pamoja na warembo wa Kibrazil
ndani ya uwanja wa FedexField, uliopo Landover Maryland Nchini marekani.
Picha ya pamoja na viongozi wa juu wa Chadema kwenye mpambano wa US na Brazil
Usiku wa kuamkia leo Alhamis Mei 31,2012 ndani ya ndani ya uwanja wa Fedex,
uliopo Landover Maryland Nchini marekani
Nabendera ya Taifa wakishangilia Bao la kwanza la Brazil lilifungwa kwa Penalti
na mchezaji Neyma
Wachezaji wa
Brazil wakilinda ngome yao kwa kuwadhibiti timu ya US kwenye mechi hiyo ya
kirafiki ambapo timu ya Brazil waliweza kuwabamiza US bao 4-1 nyumbani kwao.
Hivyo ndivyo ilivyo katika uwanja wa FedexFeild, uliopo Landover Maryland Nchini
Marekani.
Forward wa United States Landon Donovan, akipandisha majeshi juu huku
alidhibitiwa na Brazil defender Marcelo wa Brazi katika mpambano wa kirafiki.
Wabunge wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Mhe, Peter Msigwa na Mhe. Nassari Joshua, Al-Marufu Dogo janja, wakiwa na uwongozi wa tawi la Chadema Washington Dc Libe Mwangombe, wanne, Mjomba a.k.a Cosmas, Mzee wa swahilivilla Aboh Shatry wa pili kulia, pamoja na mashabiki wa US, wakiiunga mkono bendera ya taifa.
(Picha maelezo na swahilivilla.blog spot.com)
(Picha maelezo na swahilivilla.blog spot.com)
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.