ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Friday, June 1, 2012

KARIBU KWENYE PARTY YA KUZALIWA FLORA MBASHA

"Waungwana Leo ni siku yangu ya kuzaliwa, tar 1 June, namshukuru Mungu kwa ulinzi wake nampa sifa na utukufu kwani naamini sikuzaliwa kwa bahati mbaya, bali kwa makusudi ya Mungu. Nawakaribisha wote kwenye party yangu itakayofanyika hapa Maryland siku ya jumamosi. Mungu awabariki kwa maombi yenu. Amen."
Mwimbaji maarufu wa muziki wa Injili Afrika Mashariki Flora Mbasha akiwa na mumewe.

Flora akipokea busu toka kwa Sister P.

Furahia utamu wake....

Kata kipande kizuri...


G. SENGO Blog inakutakia kila la kheri katika shughuli zako za utumishi. 
Mungu akubariki..

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.