ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Sunday, May 27, 2012

SAUT KWANOGA NA MABURUDANI YA UDIFERENTI

Kila mwaka wanafunzi wa Chuo cha St Agustine Mwanza (SAUT) huandaa kongamano lao maalum liitwalo SHIKOME, kongamano linalohusu vijana kupokea ushauri toka kwa wazee na vijana waliofanikiwa katika suala zima la uwekezaji na ujasiliamali au pengine kuanzisha mashirika na makampuni yao binafsi. Pichani Kushoto ni Mdau Mutani Yangwe toka TSC na OCS mstaafu wilaya ya Nyamagana ambapo wote kwa pamoja walioainisha uzoefu wao.
  
Burudani ya Ngoma asili kutoka kwa wanachuo nayo haikusahaulika kilingeni.

Kundi la ngoma asili toka Butimba likiwakilisha jadi.
Uimbaji kama sehemu ya mafundisho.

Le dance asilia..

Paredi la wanachuo SAUT Mwanza katika 'jaiving'.

The pipoz kwa ukaribu..

Dance la nyoka toka Sukuma pipo..

Ngoma inogile pale kati...

Chezea nyoka wewe...

Yote haya yanafanyika kwa minajili ya kuwajengea uwezo wanachuo kimaadili na kiutendaji kwa zama za mara baada ya kuhitimu.

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.