Bondia Iddy Mnyeke kushoto akioneshana ufundi wa kutupiana makonde na Vitor Njait wakati wa mazoezi yanayoendelea katika kambi ya ngumi ya Ilala Mnyeke anajitahalisha na mpambano wake dhidi ya Fadhiri Awadhi utakaofanyika June 9 katika ukumbi wa Frensi kona Manzese Dar es salaam . Picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.