ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Tuesday, May 15, 2012

BONGE WA CLOUDS APANDA MIGOMBA BARABARA YA MWANANYAMALA BAADA YA BARABARA HIYO KUTELEKEZWA

Mfanyakazi wa Radio Clauds FM, Said Mohamed 'Said Bonge' akipanda migomba kwenye mashimo ya barabara ya Mwananyamala Hospitali Dar es Salaam leo huku gari likipiata kando yake. Bonge alisema amechukua uwamuzi huo baada ya wahusika kushindwa kuyafukia mashimo hayo ambayo yamekuwa yakileta usumbufu kwa watumiaji wa barabara hiyo.

Said Bonge akiendelea na shughuli ya kupanda migomba katika barabara ya Mwananyamala ambayo imeharibika vibaya huku wahusika wakiifumbia macho bila kuchukua hatua zozote za kuikarabati.
PICHA/HABARI na full shangwe

Tupe maoni yako

1 comments:

  1. Nimeipenda hii....keep it up bonge,hawa jamaa mpaka washtuliwe ndo wanafanaya kazi,tunalipia road licence kwenye barabara mbovu mno,yani hayo mashimo ya Mwananyamala ukikanyaga gari unaacha tairi zima,jamaaa wa jiji wapo tu wala hawajali

    ReplyDelete

Note: Only a member of this blog may post a comment.