Ni WANAFUNZI WA DARASA LA KWANZA SHULE YA MSINGI MAKUMBUSHO LEO HII. |
Matatizo ya elimu siyo mepesi na huwezi mtu kuyatatua kwa kutoa majibu mepesi.
Unahitajika utafiti ambao utayaanisha matatizo yenyewe kwa vipengele, chanzo chake na namna ya kuyatatua, ili hatimaye tuweze kutoa elimu inayoweza kuitwa elimu anafafanua
Ni jambo zuri Serikali inapofanya juhudi kuhakikisha watoto wanaenda shuleni, lakini wanapofika huko wanakutana na changamoto zinazofanya wasiweze kupata elimu bora bali bora elimu.
Changamoto ziko nyingi mojawapo ni ukosefu wa vifaa vya kufundishia, kujifunzia, mazingira duni na ukosefu wa madawati Changamoto nyingine ni mabadiliko ya mara kwa mara ya mitalaa yote haya yanachangia kurudisha nyuma maendeleo ya elimu.

Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.