Mfanyakazi wa Radio Clauds FM, Said Mohamed 'Said Bonge' akipanda migomba kwenye mashimo ya barabara ya Mwananyamala Hospitali Dar es Salaam leo huku gari likipiata kando yake. Bonge alisema amechukua uwamuzi huo baada ya wahusika kushindwa kuyafukia mashimo hayo ambayo yamekuwa yakileta usumbufu kwa watumiaji wa barabara hiyo.
Said Bonge akiendelea na shughuli ya kupanda migomba katika barabara ya Mwananyamala ambayo imeharibika vibaya huku wahusika wakiifumbia macho bila kuchukua hatua zozote za kuikarabati. PICHA/HABARI na full shangwe
Nimeipenda hii....keep it up bonge,hawa jamaa mpaka washtuliwe ndo wanafanaya kazi,tunalipia road licence kwenye barabara mbovu mno,yani hayo mashimo ya Mwananyamala ukikanyaga gari unaacha tairi zima,jamaaa wa jiji wapo tu wala hawajali
”Rasmi Soko Kuu la Manispaa ya Bukoba lavunjwa”
-
Soko Kuu la Manispaa Bukoba limevunjwa ili kupisha ujenzi wa soko jipya la
kimataifa unaotarajiwa kuanza muda wowote.
Kwa Wakati tofauti wameonekana Wafa...

ReplyDelete