ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Thursday, May 24, 2012

STAR WA BONGO MSIKILIZE WILL SMITH KATIKA UCHAGUZI WA MAJINA KWANI UTAITWA HIVYO HADI KIFO..

 Among the guests on Graham's sofa are Hollywood star Will Smith, who stars in new film Men in Black III; Take That's Gary Barlow, who is discussing the Jubilee Celebration Concert; and music legend Sir Tom Jones.
Kama umemfuatilia vyema katika mahojiano hapo awali amezungumza kuwa wakati anaanza kupanda chati za kisanii alikuwa akipenda kutumia majina ya kujipachika. Moja ya washauri walimvuta pembeni wakamwambia "Haijalishi jinsi gani jina lako la usanii lilivyo watu wataendelea kukuita vivyo hivyo mpaka kufa" kisha akaongeza "hakikisha jina unalotumia ni lile lililo sahihi kwani wengi wanakufa na majina ya ajabu na mengi yasiyo yao"

Jeh! niwasanii wangapi bongo wenye majina yasiyo yao huku mengine yasiyopendeza kuitwa uzeeni...? Akina Mb Doggy, Mkandamizaji,  Dr. Cheni, Dudu Baya kuna kipindi alijiita  Dudu Zuri  Mr Nice, bora Kingwendu na Bambo, Soggy Doggy Hunter kuna wakati alistuka na kubadili jina akajiita 'Chief Rwemanyika' lakini sijuwi kama alilifanyia kazi ipasavyo lipate kushika.  Suala hili haliwahusu wasanii pekee bali hata wananchi wa kawaida nchini ...kamaaaaaa..nani nani nani..hebu nitajie..  

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.