Bondia Selemani Galile (L) akipambanma na Tomasi Mashari 'Simba' (R) wakati wa mpambano wao wa ubingwa wa Taifa uliofanyika Dar es Salaam jana Mashari alishinda kwa pointi na kunyakua ubingwa.
Chekshia hapa...imefika penyewe hiyo.
The man him self Selemani Galile na mkanda wake.
Shangwe zikiendelea kurindima Bondia Tomasi alipata flash ya pamoja na wadau wake akiwemo mwanamuziki mahiri katika muziki wa Bongo fleva kona ya Hip Hop Profesa Jay. .(Picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com)
WAMERUDI NYUMBANI BINADAMU ALIPOANZIA
-
Na Mwandishi wetu, Ngorongoro.
Wajumbe wa Bodi ya Wakurugenzi wa CRDB Bank Plc kutoka mataifa ya Burundi,
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, Falme za Kiar...
0 comments:
Post a Comment