Mgeni rasmi Afisa Usalama wa Mkoa Bwana Mutash akiongea na wachezaji wa mpira wa pete kabla ya ufunguzi wa bonanza. Bonanza hili lilifanyika katika viwanja vya CCM Kirumba na baadae sherehe fupi ndani ya Shooter’s Pub ambayo ilidhaminiwa na Kampuni ya Bia Tanzania.
Maveteran wa Mwanza na Dodoma wakilisakata kabumbu katika mchezo wa kwanza wa mpira wa miguu, timu hizo zilitoka sare ya bao 2-2.
Haya ndo mambo yalivyokua katika bonanza la sikukuu ya Pasaka, hapa ilikua mechi kati ya Mwanza na Isaka ambayo pia matokeo yalikua sare ya 1-1.
Baadhi ya mashabiki wakifuatilia kwa umakini bonanza la maveterani huku wakichati kwa nafasi.
Wadau wakiwa ndani ya Shooter’s Pub wakisherehekea baada ya bonanza la Pasaka kuisha majira ya jioni hivi. PICHA NA ERICK TBL MZA
RAIS SAMIA AFTURISHA WATOTO KIKOMBO DODOMA
-
Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Mhe.
Mwanaidi Ali Khamis akigawa iftar kwa mmoja ya mtoto anayelelewa katka
Makao ...
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.