

Mwili wa Marehemu Steven Kanumba ukiwa umekwishawasili kwenye viwanja vya Lidaz Club,Kinondoni jijini Dar mapema hii asubuhi tayari kwa watu mbalimbali wakiwemo viongozi wa serikali kuanza kuuaga mwili.


This is Steven Kanumba's casket as it arrives at Leaders Club
Personally,i thank the government for its involvement,esp to provide security.
There are security men everywhere!!
Red Cross are having a hard time today...if you want to volunteer,please show up at Leaders Club,NOW...
Wadau wa msalaba mwekundu wakitoa msaada kwa mwananchi aliyezirai viwanjanihapo.

Picha Zote kwa hisani ya Mitandao mbalimbali.i.e Issa Michuzi, Miss Popular Blog, DjChoka Blog, Bongocelebrity.com
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.