ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Thursday, April 5, 2012

KILICHOFUATA ARUSHA MARA BAADA YA GODBLESS LEMA KUVULIWA UBUNGE

Maandamano ya wafuasi na wanachama wa CHADEMA wakimsindikiza "Aliyekuwa mbunge wao" wa Arusha mjini ndugu Godbless Jonathan Lema kuelekea viwanja vya Ngarenaro majira ya saa nane na dakika 15 ambapo hatimaye alihutubia wananchi. Mahakama imetengua ubunge wa Lema kutokana na kesi iliyofunguliwa na wanachama watatu wa CCM.

Godbless Jonathan Lema amekubali uamuzi wa mahakama na amesema haina haja ya kukata rufaa isipokuwa ATASHINDA TENA kiti hicho katika uchaguzi mdogo utakaoandaliwa na tume ya Taifa ya uchaguzi.
PICHA/HABARI NA SUBI

Tupe maoni yako

1 comments:

  1. HIVI MAJIMBO YOTE AMBAYO CHADEMA WAMESHINDA SI WANGEANZA KUTEKELEZA SERA ZAO MFANO KUWEKA RUZUKU KWENYE SARUJI,MABATI NA VIFAA VYA UJENZI .WANGEANZA KUTOA ELIMU BURE ILI MAENEO MENGINE YAONE WIVU WAMEKATAZA WATANZANIA WASICHANGISHWE KWENYE MIRADI YA MAAENDELEO NAWASHANGAA KUWACHANGISHA WATANZANIA KUFANIKISHA OPERESHENI SANGARA LABDA WANA FEDHA CHAFU ZA MADAWA YA KULEVYA NA MAFREEMASON WANATAKA WAZICHANGANYE

    ReplyDelete

Note: Only a member of this blog may post a comment.