Watangazaji wa Clouds Fm 88.4 jijini Dar es Salaam kutoka kushoto ni Paul James 'PJ', Babra Hassan na Jerald Hando. wakitangaza kipindi cha Power Breakfast ndani ya viwanja vya Mnazi Mmoja wakati wa kuzindua vipindi vipya vitakavyokuwa vikiruka mara kwa mara 'live' kutoka mtaani.
Watangazaji wa Clouds Fm 88.4 jijini Dar es Salaam kutoka kushoto Dina Marious na Geah Habib wakiwa katika furaha viwanjani hapo kabila hawajaanza kuendesha kipindi cha Leo Tena.
Isha Mashauzi shuhulini...
Gea habib mamaa na hEKa-hEKa.
Kutoka kulia ni Babra Hassan na Jerald Hando.
Babra Hassan na Jerald Hando wakiwa na fundi mitambo.
Mkuu wa vipindi wa Clouds Fm 88.4 Sebastian Mganga akiongea na (Kutoka kushoto) ni Jerald Hando, Paul James 'PJ', Babra Hassan.
Team XXL LOL.Leo hii Clouds Fm imezindua Azimio La April katika viwanja vya mnazi mmoja, ikiwa ni season mpya ya vipindi pamoja na vihusishi vipya (segments) na mabadiliko ya hapa na pale yaliyofanywa na management ya CloudsFm
CHANZO: http://www.kajunason.blogspot.com/
Tupe maoni yako
Whether it be a cheating ex or a friend that screwed you or just some
ReplyDeleteasshole you want revenge. Do you doubt if your spouse is cheating
on them, thus allowing children to have unrestricted and
unmonitored access to the computer which you have chosen to monitor.
Look into my page :: keylogger