ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Monday, April 16, 2012

CLOUDS FM YAZINDUA MPANGO MPYA WA VIPINDI

Bonge na Kibonde wavunja mwiko kwa Helkopta kutumika kipindi cha uchaguzi pekee na shughuli za kitaifa watumia usafiri huo wa anga kutangaza kipindi... 'chezea Kilauzi weye'

"Angusha buku tano baba...." sauti za Pj (R) na Gerald Hando zilisikika hewani.. kumsihi Bonge ambaye leo alikuwa juu kwa juu kiukweli ukweli....

Watangazaji wa Clouds Fm 88.4 jijini Dar es Salaam kutoka kushoto ni Paul James 'PJ', Babra Hassan na Jerald Hando. wakitangaza kipindi cha Power Breakfast ndani ya viwanja vya Mnazi Mmoja wakati wa kuzindua vipindi vipya vitakavyokuwa vikiruka mara kwa mara 'live' kutoka mtaani.

Watangazaji wa Clouds Fm 88.4 jijini Dar es Salaam kutoka kushoto Dina Marious na Geah Habib wakiwa katika furaha viwanjani hapo kabila hawajaanza kuendesha kipindi cha Leo Tena.

Isha Mashauzi shuhulini...

Gea habib mamaa na hEKa-hEKa.

Kutoka kulia ni Babra Hassan na Jerald Hando.

Babra Hassan na Jerald Hando wakiwa na fundi mitambo.

Mkuu wa vipindi wa Clouds Fm 88.4 Sebastian Mganga akiongea na (Kutoka kushoto) ni Jerald Hando, Paul James 'PJ', Babra Hassan.

Team XXL LOL.
Leo hii Clouds Fm imezindua Azimio La April katika viwanja vya mnazi mmoja, ikiwa ni season mpya ya vipindi pamoja na vihusishi vipya (segments) na mabadiliko ya hapa na pale yaliyofanywa na management ya CloudsFm

Picha ya pamoja ndani ya tukio hilo linaloendelea leo latika viwanja vya mnazi mmoja..

CHANZO: http://www.kajunason.blogspot.com/

Tupe maoni yako

1 comments:

  1. Whether it be a cheating ex or a friend that screwed you or just some
    asshole you want revenge. Do you doubt if your spouse is cheating
    on them, thus allowing children to have unrestricted and
    unmonitored access to the computer which you have chosen to monitor.


    Look into my page :: keylogger

    ReplyDelete

Note: Only a member of this blog may post a comment.