ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Sunday, March 11, 2012

NABII MARCKO INJILI ATOA NAMBA KWA WACHAWI: ATOA UTABILI KWA NCHI YA TANZANIA

Nabii Marko Injili kutoka kanisa la Sabato Mwanza ametoa namba zake kwa wachawi kujisalimisha kwake kabla ajaanza kuwaumbua na kuwacharaza kwa nguvu za Mungu.

Sambamba na hilo nabii huyo ambaye hana hulka wala tabia ya kuombaomba na wala asijulikane wapi anapata fedha za kujikimu kupata mkate wa kila siku akiwa katika mavazi yake duni haya ndiyo aliyozungumza fuatilia video hiyo alipozungumza nami.....

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.