Ni jengo la ghorofa moja linalopatikana katikati ya jiji la Mwanza, jengo ambalo halijamalizika miaka mingi sasa kiasi cha kuonekana kama kumomonyoka baadhi ya sehemu zake, eneo la chini shughuli za biashara muhimu zinaendelea kama kawaida....
Hebu tulisogelee bango la mkandarasi... duh limechoka halisomeki kwa ufasaha..niiii....ah wapi, ila CLIENT ni some body Mohamed Khan
Katika mjengo huu juu ambao kimsingi unamazingira hatarishi kuna familia zinaishi, baadhi ya sehemu za kuta zinavuja kwa mimea kuota juu ya kuta hizo hivyo kuozesha baadhi ya samani ambazo ni nguzo mhimili wa 'lihausi hili'.Wadau husika pale Halmashauri MUPO au MUMERARA?....?
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment