

zikimuwishi na zikiwa na maneno 'Karudije kuwa mwembamba usupa model umerudi tutakomaje sasa kwenye runway.... chezea Fide'
Idadi ya watu waliokomenti juu ya picha hizo wameonekana wakijigawa katika pande mbili, kundi la kwanza likilaumu hatua aliyoichukuwa ya kujikondesha na kundila pili likisifia mpango huo.
Komenta mmoja kasema:- "Wabongo bwana yaani mtz akipungua hata kama alikuwa anafanya diet watauliza kaumwa nini? Kawaje? na wengine watampachika maradhi kuwa siyo diet, lakini akifanya mzungu/black mzungu kama Jernifer Hudson itawatoka wow na masifa kibao, kafanya diet kapendeza blah blah!"


Si mara ya kwanza kwa watz kuhusika na projekti kama hizi za kupunguza mwili kwani hata mbunifu maarufu wa mavazi nchini Hassanali naye alipata kuhusika na sasa maisha yanasonga...
Any ways twakungoja sana siku utakapo jitokeza hadharani, Kila la kheri mdafada Fideline Iranga.
Tupe maoni yako
ngoma nini?! huyu dada simfagiliii kabisa sura imekomaaa ka pimbi plus mashauzi ya kijinga!
ReplyDeleteAh wapi, kwisha habari yake.
ReplyDeleteOMG mbona kawa kituko zaidi ya kituko alivyokuwa? tafadhali g tupia pix za full body tutathimini mengineyo you know mambo yetu yaleee.
ReplyDeleteYaani huyu ndo mwenye mvuto baasi bwana
ReplyDelete