ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Monday, March 26, 2012

HONGERA WANA WA MSIMBAZI

...Mpambano ulikuwa ni mzuri sana hasa kipindi cha pili ambapo Simba walijipatia mabao 2 kupitia wachezaji wao Emmanuel Okwi na Haruna Moshi 'Boban'

Mtafutano ndani ya game..

Hatari katika lango la Simba

Ubinadamu kazi...

Mashabiki wa kumwaga

Mkurungunzi wa PrimeTime Promotions, Godfrey Kusaga akiongea na mwenyekiti wa Simba Ismail Aden Rage huku wakihakikisha mambo yanaenda sawa na mashabiki wanaingia bila matatizo.

PICHA ZOTE NA CUTHBERT ANGELO.

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.