For the first time Siz Kitaa ya Clouds Tv imetia timu jijini Mwanza na hapa imekutana kupata flash na wasanii na wadau wa muziki toka jiji hili la miamba.
Presenter nambari moko' wa kipindi cha SIZ KITAA, Casto Dickson aka Mwananchi wa kawaida akironga na Wana Mwanza Kwanza, jeh! ni lipi laja kupitia Clouds Tv na SIZ KITAA? Tega jicho pale pale.......
Wana Mwanza Kwanza wakipata flash kidizain. Show ya SIZ KITAA ya CLOUDS TV inaruka kila siku saa moja na robo jioni.
RAIS SAMIA AFTURISHA WATOTO KIKOMBO DODOMA
-
Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Mhe.
Mwanaidi Ali Khamis akigawa iftar kwa mmoja ya mtoto anayelelewa katka
Makao ...
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.