Kuku ni ndege, nami nakutana na jamaa huyu anayeuza ndege huyu ambaye jina lake nitakwambia nikikumbuka badae, of coz ni kuku lakini anajina lake bei ni shilingi elfu themanini..mmmh Jamaa kamkumbatia kuku wake kama pochi any ways huu ndiyo moja kati ya ubebaji unaofaa (kwamba humpi mateso kiumbe).
Ubebaji usio faa wa kuning'iniza vichwa chini (mateso kwa viumbe hawa) kwa hisani ya michuzi.
RAIS SAMIA AFTURISHA WATOTO KIKOMBO DODOMA
-
Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Mhe.
Mwanaidi Ali Khamis akigawa iftar kwa mmoja ya mtoto anayelelewa katka
Makao ...
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.