ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Tuesday, February 28, 2012

KUNA SIRI YOYOTE KATI YA MISHKAKI NA JIONI....!

Mara nyingi mishkaki imekuwa ikilika jioni na viunga vingi vya wachomaji hujitokeza mara baada ya shughuli na maduka mengi kufungwa basi vibarazani moja kati ya shughuli zitakazo teka ni uchomaji wa mishkaki.

Ingawa uchomaji wa mishkaki upande wa vituo vya mabasi waweza kufanyika muda wowote lakini ni wazi kwamba wenye biashara hiyo hufanya kwa sababu tu ni chakula kisichohitaji muda mrefu wa maandalizi ni kitu cha fasta.

Lakini kuna siri yoyote kati ya mishkaki na jioni?

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.