
Nilipokea mail hiyo hapo juu pichani yenye kichwa cha utata... sinikajipendekeza kuidadis, nikazama kuidaunlodi', mzigo nikauchukuwa, problem ilianza pale tu nilipoiklick kuifunguwa mail iliyokuja kwa mfumo wa PDF mzigo ukaanza kuficha mafaili huku skrini likaanza kujaa mameseji mwanzo mwisho dah.....
SAWA KUNA ZALI LA MENTARI LAKINI WACHA NIKUPE TAHADHARI USIFUNGUWE WALA KUDOWNLOAD MAIL USIYO JUWA MTUMAJI.
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.