Promota Dj Ally Coco kutoka Coco Entertainment akikabidhi zawadi ya Tiketi ya ndege kwenda na kurudi kupitia shirika la ndege la Fly 540 kwa mshindi wa droo ya usiku wa Valentine.
Mtu mzima King Kikii alizikonga nyoyo za mashabiki wa muziki wake.
King Kikii alishirikiana na vijana wa Hill Way Band kumwaga burudani.
Ni wakati wa Kitambaa cheupe.
Meneja wa Gold Crest Hotel bi Elizabeth akitangaza washindi wawili aliojishindia zawadi ya kulala usiku mmoja hotelini hapo kupitia shindano la kucheza muziki.
Meza yetu kutoka kulia ni Wife, mie na shem Jackline.
Meza ya marafiki na dinner.
Mwanamuziki King Kikii, Dj Ally Coco na Meneja wa Gold Crest Hotel Bi. Elizabeth wakibadilishana mawazo.
WAZIRI MKUU ANADI VIVUTIO VYA UTALII, UWEKEZAJI
-
▪️Ni katika siku ya Tanzania kwenye maonesho ya Osaka World EXPO 2025
▪️Asema mauazo ya bidhaa za Tanzania Japan yafikia sh bilioni 37
▪️Asisitiza Tanzania...
KOICA Yajenga Maabara ya Kisasa ya 3D ATC
-
Na Woinde Shizza, Arusha
Chuo cha Ufundi Arusha (ATC), kwa kushirikiana na Shirika la Maendeleo ya
Kimataifa la Korea (KOICA), kimezindua rasmi maabara...
good work......
ReplyDelete