Fransic Cheka akinyosha mikono juu baada ya kuibuka mshindi na refarii Nemes Kavishe huku Bondia Kalama Nyilawili Amini matokeo hayo.
Cheka na Furaha ya ushindi.
Bondia Ibrahimu Class (kushoto) akipambana na Venasi Mponji wakati wa mpambano utangulizi walitoka droooo
Tup! Tup!!...Ni ndonga kwa kwenda mbele...
Bondia Francis Cheka (kushoto) akioneshana umwamba wa kutupa masumbwi na Kalama Nyilawila wakati wa mpambano wao uliofanyika uwanja wa Jamhuri Morogoro mwishoni mwa wiki cheka alishinda kwa pointi.
JAS yafanya kikao cha kufunga Mwaka 2025
-
Na Mwandishi Wetu Morogoro 27 Disemba, 2025.
Jumuiya ya Wanafunzi ya Jiba Active Students (JAS) imefanya kikao maalum
cha kufunga shughuli za Mwaka 2...
0 comments:
Post a Comment