Afisa uhusiano Airtel Kanda ya Ziwa Violet Gyumi akimkabidhi zawadi ya modem na kifurushi cha kuanzia kwa Subira S. Ally mara baada ya bahati nasibu kufanyika katika usiku maalu wa Airtel na wadau wake Mwanza ndani ya Gold Crest Hotel.
Mr. Vishal toka kampuni ya usafiri wa anga ya Fly 540 akinyakuwa kuponi kusoma jina la mwenyebahati katika bahati nasibu iliyochezwa.
Wadau mbalimbali wakibadilishana mawazo na kujadili mambo na vijimambo ndani ya usiku wa Airtel Mwanza uliofanyika mahali tulivu katika Top roof bar ya Gold Crest Hotel.
Afisa uhusiano Airtel Kanda ya Ziwa Violet Gyumi akikabidhi zawadi nyingine ya modem na kifurushi cha kuanzia ambayo ilikwenda kwa mwenye bahati Branch Operation officer Emmanuel Mkali wa Standard Chartered Bank.
Mbunge wa zamani wa jimbo la Busega Chegeni (katikati) akigonga chiaz' na wadau ndani ya usiku wa Airtel Mwanza.
Picha ya pamoja na Airtel.
Katika usiku wa Airtel Mwanza hakuna aliyetoka bila zawadi ya kufungishiwa hapa akina dada wakipata flash na zawadi zao.
Afisa uhusiano Airtel Kanda ya Ziwa Violet Gyumi akimkabidhi zawadi Mkurugenzi wa Barmedas Company Limited bwana Hirnoy Barmedas.
Afisa uhusiano Airtel Kanda ya Ziwa Violet Gyumi akimkabidhi zawadi Mkurugenzi wa Lakairo Investiment Mr. Daniel Lameck.
Mazungumzo kwa wadau na stori za hapa na pale.
SME Executive wa Airtel Mwanza Isabela Mregesi (L) akichati na wadau.
Afisa uhusiano Airtel Kanda ya Ziwa Violet Gyumi akabidhi furushi la zawadi kwa Mkurugenzi wa Six Solution, Brother Six.
Zawadi nyingine hiyooooo...
Afisa uhusiano Airtel Kanda ya Ziwa Violet Gyumi akimkabidhi zawadi Meneja wa The New Stone Club Dj Ally Coco.
Afisa uhusiano Airtel Kanda ya Ziwa Violet Gyumi akimkabidhi zawadi Shufaa Salum ambaye ni afisa wa Standard Chartered Bank tawi la Mwanza.
UCHAGUZI 2025: BALOZI NCHIMBI ATOA WITO
-
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi
amesema kuwa msingi wa sera za CCM utabakia kuwa ni maendeleo ya watu
pamoja na...
UCHAGUZI 2025: BALOZI NCHIMBI ATOA WITO
-
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi
amesema kuwa msingi wa sera za CCM utabakia kuwa ni maendeleo ya watu
pamoja na...
RAIS SAMIA AFTURISHA WATOTO KIKOMBO DODOMA
-
Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Mhe.
Mwanaidi Ali Khamis akigawa iftar kwa mmoja ya mtoto anayelelewa katka
Makao ...
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.