Hizi ni moja ya juhudi za mbunge huyo kwa wananchi wake katika kusaidia kuondoa matatizo yanayowakabili watu wenye ulemavu wa viungo ambao wamekuwa wakikabiliwa na matatizo mengi ukiwemo usafiri kama hizi baiskeli zitakazowasaidia kwenda hapa na pale na kuendelea na shughuli zao.Mwenyekiti wa Victoria Foundation Mh. Bi. Vick Kamata yuko Geita kwa wananchi wake kama anavyoonekana pichani akikabidhi baiskeli kwa walemavu 30 wa tarafa ya Bugando wilaya ya Geita mkoa mpya wa Geita.
Vick Kamata akimsaidia kusukuma baiskeli hiyo mmoja wa walemavu mara baada ya kumkabidhi baiskeli hiyo.
Baadhi ya baiskeli zilizokabidhiwa kwa walemavu huko Geita,
Baadhi ya walemavu wakiwa na baiskeli zao mara baada ya waliokabidhiwa.
Vick Kamata akifurahia jambo na mmoja wa wananchi hao wakati alipokabidhi baiskeli za walemavu huko Geita.
Baadhi ya walemavu wakisubiri kukabidhiwa baiskeli na mbunge Vick Kamata.
Mh. Vick Kamata akiteta jambo na mmoja wa wazee wa Geita.
RAIS SAMIA AFTURISHA WATOTO KIKOMBO DODOMA
-
Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Mhe.
Mwanaidi Ali Khamis akigawa iftar kwa mmoja ya mtoto anayelelewa katka
Makao ...
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.