Kocha wa timu ya taifa ya mchezo wa ngumi, Edward Lyakwipa (kushoto) akimwelekeza bondia, Mohamed Abdul jinsi ya kuikwepa ngumi uku ukiwa kwenye gadi wakati wa mazaoezi ya kambi hiyo iliyopo uwanja wa ndani ya taifa Dar es salaam.
Baadhi ya mabondia wa timu ya taifa ya Masumbwi wakifanya Mazoezi ya pamoja katika kambi yao iliyopo Uwanja wa ndani wa Taifa Dar es salaam leo. Picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com
”Rasmi Soko Kuu la Manispaa ya Bukoba lavunjwa”
-
Soko Kuu la Manispaa Bukoba limevunjwa ili kupisha ujenzi wa soko jipya la
kimataifa unaotarajiwa kuanza muda wowote.
Kwa Wakati tofauti wameonekana Wafa...
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.