Lakini suala la siasa ni imani.Unaamini kwamba anachokisema yule ni cha kweli na anayo dhamira nzuri kuhusu maendeleo yangu. Sasa wanaposimama hawa wawili kuongea, unamwamini yupi zaidi? Ni kitu gani kinachokufanya umwamini zaidi huyo unayemwamini? Tungependa kupata maoni yako.
NB: Vipima joto hivi vya BC,ni sehemu ya kuhakikisha kwamba viongozi na wananchi wanajua wapi wanaposimama au wanapobidi kusimama kila wakati na sio wakati wa uchaguzi tu.
PATA UHONDO ZAIDI TEMBELEA http://bongocelebrity.com
Tupe maoni yako
umemshusha sana mnyika kumlinganisha na huyo. Mnyika namuani
ReplyDelete