Programa Mwandamizi wa Kompyuta toka Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA), Bw. Ulrick Mkenda (kulia) akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati wa Uzinduzi wa huduma ya kulipia Ada za mitihani kupitia mashine za Selcom Gaming LTD, Dar es salaam jana, ziitwazo selcom paypoints. kwa wahitimu wa kujitegemea kidato cha nne CSEE na Maarifa QT kushoto ni Meneja Masoko wa Kampuni hiyo Bw. Juma Mgori.(Picha na Mpiga Picha Wetu)
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.