ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Monday, January 9, 2012

UNAONA UTaaaaaaaaaaaaaaaaaMU!!

Picha ya mmoja wa walinzi toka moja ya kampuni za ulinzi jijini Mwanza ambaye jina lake halikupatikana akiwa makiiiiiini lindoni kwenye moja ya maduka yaliyoko opoziti' na Delux Hotel katika barabara ya Uhuru jijini hapa, kama alivyokutwa na mmoja wa wanyetishaji bloguni hapa majira ya saa 4 usiku.

Mnyetishaji wetu anasema kuwa Picha hii iliichukuwa akiwa kwenye tax huku mwanga wa kupata picha safi ya kamera aka flash ukimulika ile kisawasawa (yaaani ON) na jamaa alipohisi kuna mwanga kidizaini umemulika akatizama kulia na kushoto,, fikra zikamtuma labda miale ya taa za magari ndo zimepiga ile Mwaaa'.

Basi jamaaa akarejea alikotoka, yaani ' kulinda wadau walio ndotoni----'Zzzzzzzz!

Tupe maoni yako

1 comments:

  1. duh Gsengo unataka kibarua cha jamaa kiote majani?good timing lakini uliyoifanya

    ReplyDelete

Note: Only a member of this blog may post a comment.