Lunch ya leo imepigwa maeneo ya Nyakato pembezoni mwa bar za stendi ya basi ya Buzuruga (Mwanza) njia kuelekea Musoma mkoani mara, mezani kumetanda ugali aina mbili, ugali mweupe wa mahindi na ugali wa mtama uliochanganywa na muhogo aka 'udaga' pembeni nyama choma, matunda na kichuri (hapa watu wa Mara nisaidieni ni mchanganyiko wa nini na nini..)
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.