Jana tuliungana na ndugu na marafiki wa nyumbani kwetu 'home sweet home' kijiji cha Malampaka wilaya ya Maswa mkoani Shinyanga kwa nia ya kufanya ibada ya kumbukumbu ya Baba yetu George Sospeter Sengo aliyefariki dunia mnamo mwaka 1988 na kuzikwa kijijini hapa.Kutoka kushoto mrs. Adam Sengo, Debora Kaseko Lema (shangazi), George Adam na my sis Rodha Sengo Ndamanyhilu.
My brother Adam Sengo and his daughter.
Japo matembezi ni sis Rodha Isack na my shem Ester Adam.
Tulihudhuria ibada katika katisa la Anglican Malampaka.
Kanisani.
Baadaye ibada ilihamia kwenye nyumba ya kwanza iliyolea wazazi wetu.
Sambamba na kwaya ndugu, majirani, waumini na marafiki walialikwa hapa.
Kwaya ya Anglican Malampaka kitumbuiza.
Hakika ilikuwa siku nzuri ya kumbukumbu kwa kila mmoja.
BALOZI NCHIMBI AFUNGA KAZI RUVUMA
-
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John
Nchimbi, amehitimisha ziara yake ya siku tano mkoani Ruvuma, akisisitiza
kuwa CCM itaen...
BALOZI NCHIMBI AFUNGA KAZI RUVUMA
-
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John
Nchimbi, amehitimisha ziara yake ya siku tano mkoani Ruvuma, akisisitiza
kuwa CCM itaen...
RAIS SAMIA AFTURISHA WATOTO KIKOMBO DODOMA
-
Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Mhe.
Mwanaidi Ali Khamis akigawa iftar kwa mmoja ya mtoto anayelelewa katka
Makao ...
Ni kumbukumbu nzuri. Bila shaka mzee anafurahia huko aliko kuona kuwa mngali mnamjali na kumkumbuka.
ReplyDeleteUmenikumbusha nyumbani !!!