ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Monday, December 19, 2011

IBADA YA KUMKUMBUKA MZEE GEORGE SENGO

Jana tuliungana na ndugu na marafiki wa nyumbani kwetu 'home sweet home' kijiji cha Malampaka wilaya ya Maswa mkoani Shinyanga kwa nia ya kufanya ibada ya kumbukumbu ya Baba yetu George Sospeter Sengo aliyefariki dunia mnamo mwaka 1988 na kuzikwa kijijini hapa. Kutoka kushoto mrs. Adam Sengo, Debora Kaseko Lema (shangazi), George Adam na my sis Rodha Sengo Ndamanyhilu.

My brother Adam Sengo and his daughter.

Japo matembezi ni sis Rodha Isack na my shem Ester Adam.

Tulihudhuria ibada katika katisa la Anglican Malampaka.

Kanisani.

Baadaye ibada ilihamia kwenye nyumba ya kwanza iliyolea wazazi wetu.

Sambamba na kwaya ndugu, majirani, waumini na marafiki walialikwa hapa.

Kwaya ya Anglican Malampaka kitumbuiza.

Hakika ilikuwa siku nzuri ya kumbukumbu kwa kila mmoja.

Tupe maoni yako

1 comments:

  1. Ni kumbukumbu nzuri. Bila shaka mzee anafurahia huko aliko kuona kuwa mngali mnamjali na kumkumbuka.

    Umenikumbusha nyumbani !!!

    ReplyDelete

Note: Only a member of this blog may post a comment.